Sauti ya Biblia Music

Karibu kwenye Sauti Ya Biblia Music, kituo cha nyimbo za injili za Kiswahili zinazotokana moja kwa moja na Maandiko Matakatifu.

Kila wimbo umetungwa kutoka sura za Biblia kama Mwanzo, Zaburi, Mithali, Injili na nyinginezo—ukiimbwa kwa mtindo wa worship, Bongo Gospel, cinematic, na ushairi safi wa Kiswahili.

Utapata:
🎵 Nyimbo za Biblia (Chapter-by-Chapter)
🎵 Bongo Flava Gospel
🎵 Cinematic Worship
🎵 Ushairi wa Kiswahili kwa mziki
🎵 Nyimbo za watoto zinazoelezea Biblia
🎵 Lyric videos na instrumentals

Tunakuletea nyimbo mpya kila wiki.

Jisajili ili neno la Mungu likuguse kwa muziki.