Karibu kwenye Maisha ya Urusi kwa kiswahili sehemu pekee unapopata picha halisi ya maisha ya kila siku nchini Urusi, kwa lugha ya Kiswahili.

Katika channel hii, utajifunza na kuona mambo kama:
🇷🇺 Maisha ya Warusi
🚇 Usafiri wa chini kwa chini (metro)
🏙️ Miji na mandhari ya kuvutia ya Urusi
🚗 Magari, kazi, benki na huduma mbalimbali
❄️ Hali ya hewa na mazingira ya kipekee
👥 Tabia na maisha ya watu wa hapa
🔍 Taarifa na elimu kuhusu maisha halisi bila kupotosha

🎙️ Maudhui yetu yanawasilishwa kwa sauti safi na uhalisia bila kuedit chochote, ili kukupa mtazamo wa uhalisia, kweli na usiotiliwa chumvi kuhusu maisha ya kila siku nchini Urusi.

👉 Subscribe ili kufuatilia kila video mpya ujifunze, utembee kwa macho, na ugundue Urusi kwa mtazamo wa Ukweli na uwazi.



Maisha ya Urusi

Magari ya kifahari hapa Urusi

4 months ago | [YT] | 3

Maisha ya Urusi

Je! Unafahamu historia hii iliyopo katika kituo cha treni za chini kwa chini hapa Urusi 🇷🇺 ??

5 months ago | [YT] | 5