KANUNI NA MUONGOZO

Msasa Media ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo tumejikita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Burudani kama filamu muziki, michezo, elimu na masuala mbalimbali ya jamii kwa ujumla.

Dawati la Uhariri Msasa Online linazingatia haya.

1. Kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini.
2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu.
3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja.
4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki.
5. Kufanya kazi kwa nidhamu na weredi.

Muongozo kwa watazamaji wetu

1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni.
2. Msasa Online inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea uvunjifu wa amani au kusababisha taharuki.
3. Msasa Online inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu.
4. Lugha chafu na zisizo na maadili haziruhusiwi.



Msasa Media

HARMONIZE NA KAJALA NDOA IPO....?

1 day ago | [YT] | 3,414

Msasa Media

PENZI LIMERUDI TENA HARMONIZE NA KAJALA....

1 week ago | [YT] | 2,863

Msasa Media

HADI RAHA MWEZI WA WAPENDANAO SHILOLE NA MPENZI WAKE....

1 week ago | [YT] | 2,129

Msasa Media

Jamami Zuchu Njoo Mchukue Mumeo Chibu Huku....

1 week ago | [YT] | 461

Msasa Media

Chibu akiwa kwenye Mawindo.....🔥💥

1 week ago | [YT] | 246

Msasa Media

Ukikutana Na Simba leo utamshauri nini....

1 week ago | [YT] | 130

Msasa Media

Diamond....

1 week ago | [YT] | 462

Msasa Media

KAJALA WA HARMONIZE KATIKA UBORA WAKE....

1 week ago | [YT] | 1,221

Msasa Media

Mwite Simba Diamond akiwa Kazini....

1 week ago | [YT] | 395

Msasa Media

Hamisa ni mrembo

2 weeks ago | [YT] | 2,373