Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Tundu Lissu imeahirishwa baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kumleta shahidi wa tatu. Fuatilia moja kwa moja mwenendo wa kesi kwa kubofya www.bbc.com/swahili/live/c620q1703x2t
Kesi inayomkabili kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, imeendelea leo mahakamani. Kufahamu kwa kina kila hatua ya kesi hii na yaliyojiri boya bbc.in/4qyLNcE
Mashahidi wa upande wa mashtaka wameanza kutoa ushahidi dhidi ya Tundu Lissu, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA ambaye anakumbwa na kesi ya uhaini katika mahakama kuu jijini Dar esSalaam.-
Wanawake barani Afrika wamekuwa wakihitimu masomo ya STEM yaan Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati kwa kiwango sawa na wanaume, lakini ni wachache sana wanaoendeleza taaluma katika sekta hiyo, wengi wao wanaachia njiani.
Bad Bunny, msanii maarufu kutoka Puerto Rico, alifanya onyesho la kipekee kwenye Super Bowl, siku ya Jumpili baada ya kutumbuiza onesho zima kwa Kihispania pekee. Bunny ameshaweka historia kadhaa mpaka sasa.
Februari 24 itatimia miaka minne tangu vita vya Ukraine kuanza, je silaha za kisasa zinazotumiwa na pande zote mbili zinaweza kuleta tofauti gani kwa Urusi na Ukraine wakati huu ambapo juhudi za kidiplomasia zikiendelea?
Mshukiwa wa biashara haramu ya dawa za kulevya nchini Tanzania amekamatwa nchini Zambia kufuatia mfululizo wa operesheni zinazoongozwa na idara ya ujasusi zilizosababisha moja ya kukamatwa kwa dawa za kulevya kwa kiasi kikubwa zaidi nchini humo. Kusoma zaidi www.bbc.com/swahili/live/cz6y52nvp8wt?post=asset%3…
Rais wa zamani wa Zimbabwe, hayati Robert Mugabe ametajwa katika kundi jipya la faili za Jeffrey Epstein zilizotolewa Marekani. Nyaraka hizo zinajumuisha mawasiliano ya barua pepe na madai ambayo hayajathibitishwa kutoka kwa chanzo cha siri yakidai uhusiano wa kifedha.
BBC News Swahili

12 hours ago | [YT] | 96
View 9 replies
BBC News Swahili
Mkuu wa Kampuni kubwa ya uendeshaji wa bandari duniani DP World amebadilishwa kufuatia kufichuliwa kwa uhusiano na muhalifu wa ngono Jeffrey Epstein.
3 days ago | [YT] | 90
View 4 replies
BBC News Swahili
Kesi inayomkabili kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, imeendelea leo mahakamani. Kufahamu kwa kina kila hatua ya kesi hii na yaliyojiri boya bbc.in/4qyLNcE
3 days ago | [YT] | 164
View 3 replies
BBC News Swahili
Mashahidi wa upande wa mashtaka wameanza kutoa ushahidi dhidi ya Tundu Lissu, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA ambaye anakumbwa na kesi ya uhaini katika mahakama kuu jijini Dar esSalaam.-
Katika kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe .
Tembelea kwenye ukurasa wetu wa BBC Swahili
-www.bbc.com/swahili/live/cz9qx3jjze2t
#bbcswahili #lissu #mahakamani
4 days ago | [YT] | 190
View 37 replies
BBC News Swahili
Wanawake barani Afrika wamekuwa wakihitimu masomo ya STEM yaan Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati kwa kiwango sawa na wanaume, lakini ni wachache sana wanaoendeleza taaluma katika sekta hiyo, wengi wao wanaachia njiani.
5 days ago | [YT] | 39
View 0 replies
BBC News Swahili
Bad Bunny, msanii maarufu kutoka Puerto Rico, alifanya onyesho la kipekee kwenye Super Bowl, siku ya Jumpili baada ya kutumbuiza onesho zima kwa Kihispania pekee. Bunny ameshaweka historia kadhaa mpaka sasa.
6 days ago | [YT] | 89
View 11 replies
BBC News Swahili
Februari 24 itatimia miaka minne tangu vita vya Ukraine kuanza, je silaha za kisasa zinazotumiwa na pande zote mbili zinaweza kuleta tofauti gani kwa Urusi na Ukraine wakati huu ambapo juhudi za kidiplomasia zikiendelea?
1 week ago | [YT] | 74
View 1 reply
BBC News Swahili
Katikati ya miaka ya 1970, Jeffrey Epstein alifundisha hisabati na fizikia katika Shule binafsi ya Dalton huko New York. Kumfahamu zaidi bofya www.bbc.com/swahili/articles/cr57yylpe31o
www.instagram.com/p/DUasuNjCILf/?utm_source=ig_web…
1 week ago | [YT] | 93
View 4 replies
BBC News Swahili
Mshukiwa wa biashara haramu ya dawa za kulevya nchini Tanzania amekamatwa nchini Zambia kufuatia mfululizo wa operesheni zinazoongozwa na idara ya ujasusi zilizosababisha moja ya kukamatwa kwa dawa za kulevya kwa kiasi kikubwa zaidi nchini humo. Kusoma zaidi www.bbc.com/swahili/live/cz6y52nvp8wt?post=asset%3…
1 week ago (edited) | [YT] | 52
View 1 reply
BBC News Swahili
Rais wa zamani wa Zimbabwe, hayati Robert Mugabe ametajwa katika kundi jipya la faili za Jeffrey Epstein zilizotolewa Marekani. Nyaraka hizo zinajumuisha mawasiliano ya barua pepe na madai ambayo hayajathibitishwa kutoka kwa chanzo cha siri yakidai uhusiano wa kifedha.
www.bbc.com/swahili/live/c1wzrd8z08gt
www.instagram.com/p/DUXnYjJjkU6/?img_index=1
#bbcswahili #mugabe #epstein #marekani #uhalifu
1 week ago (edited) | [YT] | 94
View 6 replies
Load more