Karibu kwenye Channel ya Mtumishi wa MUNGU Eliya Emmanuel Ndoda
Hapa ni mahali pa kufunuliwa Neno la Mungu, maombezi, mafundisho ya imani, na ushuhuda wa nguvu ya Kristo.
Huduma hii inalenga kuwafikia watu wote kwa Injili ya kweli, kuwainua kiroho, na kuwasaidia kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
"Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu." (Zaburi 119:105)
Ungana nasi kila siku ujenge imani yako na uone mkono wa Mungu ukitenda kazi maishani mwako.
Kwa mawasiliano na maombi, piga/sms/WhatsApp: 0712 201 450
Mungu akubariki sana!
Shared 1 month ago
106 views
Shared 2 months ago
95 views
Shared 2 months ago
67 views
Shared 3 months ago
120 views
Shared 3 months ago
30 views
Shared 3 months ago
38 views
Shared 4 months ago
26 views
Shared 4 months ago
11 views
YESU ANAKUSUBIRI WEWE TU UOKOKE! OKOA NAFSI YAKO NA JEHANAMU YA MILELE | Mwinjiristi Shukuru Suday |
Shared 4 months ago
39 views
Shared 4 months ago
338 views
Shared 4 months ago
90 views