Eliya Emmanuel Ndoda

Karibu kwenye Channel ya Mtumishi wa MUNGU Eliya Emmanuel Ndoda

Hapa ni mahali pa kufunuliwa Neno la Mungu, maombezi, mafundisho ya imani, na ushuhuda wa nguvu ya Kristo.
Huduma hii inalenga kuwafikia watu wote kwa Injili ya kweli, kuwainua kiroho, na kuwasaidia kuishi maisha yanayompendeza Mungu.

"Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu." (Zaburi 119:105)

Ungana nasi kila siku ujenge imani yako na uone mkono wa Mungu ukitenda kazi maishani mwako.

Kwa mawasiliano na maombi, piga/sms/WhatsApp: 0712 201 450

Mungu akubariki sana!