Hii Njia Inatoa by Temidayo ni podcast ya mazungumzo ya kina kuhusu maisha halisi ya Tanzania. Hapa hatuuziwi ndoto, tunachambua uhalisia. Biashara, pesa, afya, kazi, mahusiano, na maamuzi magumu ambayo watu hukutana nayo kila siku katika mazingira ya Kitanzania.

Kila kipindi ni mahojiano ya wazi na watu wanaofanya, si wanaosema. Wajasiriamali, wataalamu, madaktari, wafanyakazi, na watu wa kawaida wenye uzoefu wa kweli. Tunazungumza kuhusu makosa, na jinsi watu wanavyopiga hatua bila kelele.

Hii ni podcast inayokuhusu, yaa kuelewa jinsi mambo yanavyofanya kazi hapa nyumbani. Kama unatafuta mazungumzo yenye maana, yaliyo grounded, na yanayokuhusu wewe, Hii Njia Inatoa.


Hii Njia Inatoa

8 Free Online Learning Platforms

2 years ago | [YT] | 1

Hii Njia Inatoa

Full List ya BET 2020’

5 years ago | [YT] | 0

Hii Njia Inatoa

Diamond Platnumz Aikosa Tena BET: JIONEE

5 years ago | [YT] | 0

Hii Njia Inatoa

Diamond akosa Tuzo BET, YOPE RMX yampa Nafasi Innos B.

5 years ago | [YT] | 0

Hii Njia Inatoa

Enjoy Gallery Tours & Safari Ad. Directed and Narrated by Temidayo

5 years ago | [YT] | 0

Hii Njia Inatoa

Watch now!! SABABU 10 USIZOZIJUA KUHUSU NANDY NA BILLNAS

5 years ago | [YT] | 0

Hii Njia Inatoa

USIKOSE SAA SITA NA DAKIKA 45 MCHANA.

5 years ago | [YT] | 1

Hii Njia Inatoa

#SautiZaWatu Short Documentary Coming soon! SUBSCRIBE OUR CHANNEL.

5 years ago | [YT] | 0

Hii Njia Inatoa

Thank you for keeping up with ‪@HiiNjiaInatoa‬

5 years ago | [YT] | 4