Hii Njia Inatoa by Temidayo ni podcast ya mazungumzo ya kina kuhusu maisha halisi ya Tanzania. Hapa hatuuziwi ndoto, tunachambua uhalisia. Biashara, pesa, afya, kazi, mahusiano, na maamuzi magumu ambayo watu hukutana nayo kila siku katika mazingira ya Kitanzania.
Kila kipindi ni mahojiano ya wazi na watu wanaofanya, si wanaosema. Wajasiriamali, wataalamu, madaktari, wafanyakazi, na watu wa kawaida wenye uzoefu wa kweli. Tunazungumza kuhusu makosa, na jinsi watu wanavyopiga hatua bila kelele.
Hii ni podcast inayokuhusu, yaa kuelewa jinsi mambo yanavyofanya kazi hapa nyumbani. Kama unatafuta mazungumzo yenye maana, yaliyo grounded, na yanayokuhusu wewe, Hii Njia Inatoa.
Hii Njia Inatoa and Temidayo Creates
Shared 2 years ago
2.1K views
Shared 2 years ago
44 views
Hii Njia Inatoa and Temidayo Creates
Shared 2 years ago
115 views
Hii Njia Inatoa and Temidayo Creates
Shared 2 years ago
103 views